Loading...

- Ikiwa mwanafunzi anataka kukamilisha hatua (ngazi) au programu ya masomo, lazima afaulu kozi zote kwa mafanikio na apewe Cheti cha kukamilisha hatua au programu ya masomo. 

- Ikiwa anataka kusoma kitabu kimoja au zaidi, anaweza kufanya hivyo na kupewa Cheti cha kukamilisha kitabu.

Mtaala wa Darul-Mustafa iliyopoTarim kwa Masomo ya Kiislamu yenye kupokelewa kwa mapokezi sahihi, na ni mtaala wa Ahlu Sunna Waljamaa kutokana na Al-Ash’aria na Maturidia na wale wanaokubaliana nao, na wao ndio walio wengi katika Umma huu. Mwanafunzi husoma na kupokea elimu kutoka kwa Mashekhe na Walimu waliopokea kutoka kwa watu wenye mapokezi sahihi, na mtaala huu umewasilishwa kwa mtazamo madhubuti wa kielimu na kulingana na mbinu za kinidhamu zinazoendana na elimu.