Programu ya kielimu yenye isnadi (iliotegemezwa) kwa mujibu wa mbinu ya kielimu iliyodhibitiwa, inajumuisha idadi ya viwango na hatua za masomo, inalenga kutoa mwanafunzi aliyebobea katika elimu ya Sharia na Fani zake, na hii ni maalumu kwa mwenye juhudi na uwezo wa kujitolea katika nyakati zilizopangwa, kwa sababu masomo yamewekewa muda maalumu kulingana na ratiba ya masomo kwa kila somo (Kozi), na inajumuisha katika kusoma hapo mikutano ya moja kwa moja na walimu na nafasi ya majadiliano, na shughuli na baadhi ya kazi na utaratibu sahihi katika mitihani, na ni lazima kwa mwanafunzi kufuatilia masomo na kuwasilisha kazi zinazotakiwa kulingana na ratiba iliyoandaliwa.